Kód: 33201598
Kanisa la sasa : Kwa nini haya mapinduko makubwa ? Kisha kumpokea Yesu Kristu wa Nazarethi katika maisha kama Bwana na Mwokozi mtu anakuwa kiumbe kipia. Na maoni makubwa ya vitu vya dunia hiyi yanabadirika kwa sababu shabaha si ya ... celý popis
Svahilština
Nákupem získáte 25 bodů
Anotace knihy
Kanisa la sasa : Kwa nini haya mapinduko makubwa ?
Kisha kumpokea Yesu Kristu wa Nazarethi katika maisha kama Bwana na Mwokozi mtu anakuwa kiumbe kipia. Na maoni makubwa ya vitu vya dunia hiyi yanabadirika kwa sababu shabaha si ya kupata ulimwengu kwa kujipigapiga juu ya kukusanya kwa kila hali utajiri wa vitu hao vifaha lakini shabaha yake ni yakutafuta sasa jinsi atapata mwisho wa maisha yake ufalme wa Mungu. Shetani naujanja wake wa mbinu mbalimbali aliweza kujiingiza katika taifa la Mungu kusudi apindue misingi ya neno la Mungu ili watu wengi kisha kuanguka kwao wasishugulikie tena uzima wa milele. Ijapo Yesu Kristo alihaidi kila mjo wao kwenda kukamata na fasi pale mbinguni. ... Yoana 14 : 3 na tena ... Yeremia 5 : 30 - 31 .
Parametry knihy
Zařazení knihy Knihy v angličtině Humanities Religion & beliefs Religion: general
250 Kč
Svahilština
Osobní odběr Praha, Brno a 46566 dalších
Copyright ©2008-26 nejlevnejsi-knihy.cz Všechna práva vyhrazenaSoukromíCookies
Vrácení do měsíce
571 999 099 (8-15.30h)Nákupní košík ( prázdný )