Barakoa! / Nejlevnější knihy
Barakoa!

Kód: 33391540

Barakoa!

Autor Sobel Lederman Deana Sobel Lederman

Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine.Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua k ... celý popis

242


Skladem u dodavatele
Odesíláme za 14-21 dnů
Přidat mezi přání

Mohlo by se vám také líbit

Dárkový poukaz: Radost zaručena

Objednat dárkový poukazVíce informací

Více informací o knize Barakoa!

Nákupem získáte 24 bodů

Anotace knihy

Wahusika wachanga wa hadithi hii wameambiwa na familia zao kwamba kutoka sasa watu wote watahitaji kuvaa barakoa za kinga na watahitaji kukaa mbali mmoja kwa mwingine.

Wakiwa na barakoa mpya kwenye nyuso zao, hawo vijana wanaamua kwenda kwenye duka la aiskrimu na wazazi wao. Wanaona ni mzaha watu wazima mitaani wakivalia kofia za ajabu kama ukumbusho wa hizo sheria mpya. Kwa hali yoyote, ile utumizi wa barakoa na kutotangamana na watu haziwafadhaishi, na furaha yao inazidi wanapoonana kwenye foleni ya duka la aiskrimu. Wakati kila mmoja wao ameingia dukani kwa zamu yake na amenunua aiskrimu, wote wanarudi nyumbani kufurahia peremende zao.

Parametry knihy

Zařazení knihy Knihy v angličtině Children's, Teenage & educational Children's / Teenage fiction & true stories

242

Oblíbené z jiného soudku



Osobní odběr Praha, Brno a 46829 dalších

Copyright ©2008-26 nejlevnejsi-knihy.cz Všechna práva vyhrazenaSoukromíCookies


Můj účet: Přihlásit se
Všechny knihy světa na jednom místě. Navíc za skvělé ceny.

Nákupní košík ( prázdný )

Vyzvednutí v Balikovně a PPL
boxech
zdarma nad 1 499 Kč.

Nacházíte se: